MICHONGO KAMILI

Sunday, 7 December 2014

BREAKING NEWS: MTANZANIA IDRIS ASHINDA BIGBROTHER AFRICA


MSHIRIKI WA  BIGBROTHER KUTOKA HAPA HAPA HOM "IDRIS SULTAN" AIBUKA MSHINDI WA SHINDANO LA BIG BROTHER LINALOFANYIKA SOUTH AFRICA IDRIS AMEKUWA MTANZANIA WA PILI KUSHINDA SHINDANO HILO BAADA YA RICHARD DYLE BEZUIDENHOUT  ALIYESHINDA SHINDANO HILO MWAKA 2011. 

No comments:

Post a Comment

0653830825

Breaking News
Loading...

Search This Blog

LIKE PAGE ZETU ZA FACE BOOK

ZINGINE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...