Wizara ya Nishati na Madini (WNM) inapenda kuutangazia umma kuwa kuanzia tarehe 15 Januari 2015, raia mwema yeyote atakayesaidia kukamatwa kwa mtu au kampuni yoyote inayojaribu kutorosha madini nje ya nchi kupitia mipaka yetu, bandari na viwanja vyote vya ndege nchini atazawadiwa.
Zawadi itakayotolewa ni fedha taslim ambazo ni sawa na asilimia 5 (5%) ya thamani ya madini yaliyokamatwa na kunadiwa. Thamani ya madini husika itapatikana kwa kutumia wataalamu wa madini walioidhinishwa <
No comments:
Post a Comment
0653830825