Wakati skendo mbalimbali zikiendelea kuwaandama mastaa
mbalimbali akiwemo staa wa muziki wa bongofleva anaye waburuza wenzie kwa
takribani miaka matano kama si manne sasa ambaye ana endelea kutamba na remix
yake mpya MY NUMBER ONE aliyo fanya na mwanamziki anaye kuja kwa kasi aitwaye
DAVIDO kutoka Nigeria
Blog hii imegundua kuwa maisha ya wasanii wakubwa kama huyu
yamekuwa kama kioo kwa mashabiki zao wanao fatilia muziki wao, kutokana na hili
mwana habari wa blog hii akaona ni wakati sasa wakuwa wapasha habari mastaa hao
kajiepusha na skendo mbali mbali kwa kujihusisha kwao kuna pelekea asilimia
kubwa ya wanajamii kupotea kimaadili na badala yake blog hii inawashauri
wasanii hao kujaribu kwa dhati ya mioyo yao kuwa vioo bora vya jamii na
waadhimie kuibadilisha jamii kupitia vibao vyao mbali mbali kama msanii huyu
alivyo faulu kuwateka mashabiki wake kimavazi kama inavyoonekana kwenye picha
mbalimbali …ni hayo tu! Na huu ndio MCHONGO KAMILI wa leo BY
MICHONGOKAMILI.BLOGSPOT.COM
No comments:
Post a Comment
0653830825