Kwanza kabisa nianze kwa kuwaomba radhi kwa kuchelewa kuwawekea kitu muhimu kama hichi, hii ni hotuba ya muheshiwa rais JK akihutubia bunge maalum la katiba mjini dodoma mwezi march tarehe 21 2014 . unaweza kudownload audio yake hata video yake pia ilikuweza kufuatilia kilichoendelea siku hiyo....nime fanya hivi ili kuwapa wasomaji wangu nafasi ya kuwa na audio ya hotuba hii kwaajili ya kufuatilia zaidi juu ya kinachoendelea mjini dodoma...
MICHONGOKAMILI.BLOGSPOT.COM
No comments:
Post a Comment
0653830825