
"Luqman ananambia wangapi wanaharibu na hawazungumziwi,akanikumbusha 
nimewai imba hivi nani alisema maneno yanaua,mimi ndio nimefanya Bongo 
freva kuwa biashara,mimi ndie nimefanya wasanii wapendeze na walipwe 
pesa,mimi ndie nilieonyesha kama unaweza kukusanya wasanii pamoja na 
ukawatoa mmoja mmoja..nimefanya mengi na kwa jasho langu wametoka 
wengi,zile collabo zilifanya nionekane mkubwa zaidi,watu walikua 
wakiniskia tu bila kuniona,mimi ni mziki kwenye huu mziki,Wakazi 
alinambia chidi unazungumza mambo yako tu kwenye nyimbo na watu 
wanapenda,usinichukulie poa na usinifananishe,na silogi wala siamini 
mitishamba,mamake boss mwenyewe msanii mwenyewe.sishiki gitaa wala 
similiki studio ila nina sauti,nguvu na nyota.Me"
SOURCE-Facebook account of chidi benzi 
 
 
No comments:
Post a Comment
0653830825