Hivi ndivyo kila mwafrika wasasa anavyo waza mapinduzi ........Wabunge wa Jamhuri ya Demokrasi ya
Congo wamekubali mswada ambao wadadisi wanasema unakusudiwa kumpa Rais
Joseph Kabila idhini ya kubaki madarakani, baada muhula wake wa pili
kumalizika.
Mswada huo unapendekeza kufanywe sensa ya taifa kabla
ya uchaguzi ambayo serikali inasema inaweza kuchukua miaka kadha
kukamilisha.
No comments:
Post a Comment
0653830825