MICHONGO KAMILI

Wednesday, 19 March 2014

MISTARI YA MTANZA HURU YASUMBUA VICHWA VYA MAKACHERO


Jina halisi anaitwa babuu nixt akiwa anatumia jina la kisanii “b.o.t” aliamua kuingia studio inayo julikana kwa jina la “5records” kufanya nyimbo inayokwenda kwa jina la MTANZA  HURU  huku akimshirikisha staa flani hivi wa mzikihapa bongo lakini kutokana na mistari iliyopo katika nyimbo hii msanii huyo

alishikiliwa na askari na ikabidi mmiliki wa nyimbo yani B.O.T aitwe nakuyazungumza na askari hao lakini kupitia msaada wa mwanasheria flani hivimchongo ukawa umemalizwa kisheria lakini bado staa huyo aliye shirikishwa aliomba kipande chake kitolewe...na kama ilivyo ada B.O.T akajaribu kumtafuta mtu mwingine wa kuziba pengo hilo ndipo alipopatikana fundi SUPER ZEE na kuziba pengo hilo na kuiachia ngoma hii isumbue TZ, Ngoma yenyewe ni hii hapa chini.

No comments:

Post a Comment

0653830825

Breaking News
Loading...

Search This Blog

LIKE PAGE ZETU ZA FACE BOOK

ZINGINE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...