MICHONGO KAMILI

MUSIC

hajii


Christian Bella - Ukimwona Remix [Audio]




http://i0.wp.com/kidebway.com/wp-content/uploads/2015/02/Daz-Baba-Ft.-Man-Chipi-Pointer.jpg?fit=945%2C9999
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEipBNH3X7bc4kGEObQfzPUTTyslHYYvBE9m1Vsx4V3ATzgXH0inqLnLPm42TyYS2ttYGWQMOO3_G6cqY7ON-_3-QE8mXLh9tS-ZpkI4zU_hE7_QDS5KHK2ngJDlGginqkMX18mEl_Ot7D8/s1600/Man+chipi.jpg

DAZ BABA  FT  MAN CHIPI - POINTER



NI KIJANA MWENYE UMRI USIO ZIDI MIAKA 25 ALIYE SOMA ALFAROUQ SEMINARY AKAENDA LIDA BOYS ILIYOPO LINDI NA SASA YUPO CHUO FLANI FLANI HIVI AKIWA NA KIPAJI CHA AJABUUUU ALIANZIA KUPAZA SAUTI CHINI YA MITI ALIPO KUWA LIDA BOYS LAKINI ALIPO FIKA CHUO ALIKUTANA NA PRODUCER AITWAE CHRISS NA AKAMPA NAFASI YA KUPAZA SAUTI MBELE YA KIPAZA NA HII NGOMA HAPO CHINI NDICHO KILICHOJIRI.............PERFECT FOR BEGGINER! NAIDEDIKET HII KWA WAPENZI WA BLOG HII .....I MISS YOU SO MUCH





B.O.T ft SUPER ZEE MTANZA HURU

Ben Pol & Fundi Samweli - Unanichora | DJChokaMusic

NGOMA MPYA YA SHETTA NA DIAMOND INAITWA KEREWA

TOP C AFUNGUKA KUHU KUPOROMOKA KWAKE KIMUZIKI


TOP C KATIKA POUZI

Yule mshkaji ambaye alijitahidi kufanya poa sana katika Industry ya Bongo Fleva kwa hits songs zake kadhaa ikiwemo "Sababu ya Ulofa" na nyinginezo zikiwa zime recordiwa ndani ya Sharobaro Records chini yake Raisi wa Masharobaro Bob Juniour.
Nadhani kwa  intro hiyo si mgeni saaana katika masikio na macho ya mafuns  wa Bongo Fleva a.
 He is Top C ambaye kiukweli alipotea muda mrefu sana katika gemu na kufikia hata kusababisha kuwepo kwa uvumi wa kuwa jamaa alibahatisha!!! au ndo keshapigwa chini??? na vitu kama hizo nini..............!!!

TOP C
Ila  juzi kati Top c alifunguka na kuuzima ukimya wote uliokuwepo dhidi yake na kukanusha suala la kushushwa kimziki na aliyekuwa bosi wake wa zamani (Babuu Kisouji) alipokuwa chini ya Babuu Entertainment na Top C kusema kuwa.
"hapana hilo suala si la kweli, ila tu unajua sisi ni binadamu tunakosea na tunakwazana vilevile. Kuna mambo tu ya kibinadamu yaliyotokea kati yangu na bosi wangu wa zamani Babuu Kisouji na hivyo hatukufikia mwisho mzuri ndiyo maana tukaamua kila mmoja afanye shughuli zake. Ila si kweli kwamba yeye ndiyo kanishusha au kanizuia nisitoe nyimbo mpya"
Lakini pia Top C alinieleza kuwa alikuwa na baadhi ya mambo ya kifamilia na nini ndiyo maana akawa kimya, ila hivi sasa ameshajipanga vizuri na kazi yake mpya ipo tayari na hivi karibuni tyu itaanza  kusikika kwenye radio stations mbalimbali.

TOP C NA MAANDALIZI YA KITU KIPYA YAKO HIVIIIIIIIIIIIII
"Kuna baadhi ya vityu tyu vinamaliziwa na muda mfupi tyu itaanza kusikika katika redio stations mbalimbali. Sijajua ni lini hasaa itakuwa kwa hewa kutokana na hayo ni masuala ya management yangu ambayo hivi sasa inanisimamia kazi zangu kutokea kule Kenya "Canden Kane " Ila ikishakuwa tayari tyu nitaitambulisha"
Na zaidi ya hayo Top C anawaomba mashabiki wake mumpokee vizuri na mumpe support ya kutosha......ni hayp tu!!!!
ngoma mpya ya chameleon ft davido - all di girls

NGOMA MPYA YA WEUSI - GERE


REMIX YA MAJANGA ILIYO ACHIWA NA DOGO SKIDE

NGOMA MPYA YA MADEE INAYOITWA  "TEMA MATE TUWACHAPE"




NGOMA YA UPCOMING ARTIST ANAEITWA  OG_TALENT INAITWA  "NIA YAO"




HII NI NGOMA MPYA YA DIAMOND INAYOSEMEKANA KUWA IMEVUJA!




NYIMBO MPYA YA DARSTAMINA_NUH_KIBA-NIACHENI




HII NDIO NGOMA MPYA YA MWANA DADA LINAH! INAYO TARA


NA HII NI NGOMA YA MWANADADA RECHO AMBAYO IMETOK




NGOMA MPYA YA BRACKETS-MAMA AFRICA


 YOUNG KILLER - MSODOKI
    
DIAMOND FT DAVIDO - MY NUMBER ONE REMIX
 TUNACHEZA BILA KUKUNJA GOTI SKU HIZI     
                                    
       HII NI NGOMA YA  NAVY KENZO INAYO ITWA  CHEZA KIZEMBE   
MAU akiongelea video yake mpya ya ANAPENDA itakayotoka hivi karibuni....!!!!
     
VIDEO YA NGOMA MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ-MY NUMBER ONE
NGOMA MPYA YA TINY WHITE
MY NUMBER ONE REMIX - DIMOND FT DAVIDO
          
 TUNACHEZA BILA KUKUNJA GOTI SKU HIZI!           
                                          
 HII NI NGOMA YA  NAVY KENZO INAYO ITWA  CHEZA KI
  
MAU akiongelea video yake mpya ya ANAPENDA itakayotoka hivi karibuni....!!!!
     
VIDEO YA NGOMA MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ-MY NUMBER ONE
CPWAAA AFANYA YAKE

No comments:

Post a Comment

0653830825

Breaking News
Loading...

Search This Blog

LIKE PAGE ZETU ZA FACE BOOK

ZINGINE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...