MAMBA ALIWA NA NYOKA KATIKA MISITU YA AUSTRALIA
Maajabu yanaendelea katika misitu mbali mbali duniani kama yale ya mbuga za Africa mashariki ya kuhama kwa makundi makubwa ya wanyama kama nyumbu,tembo na vifaru kutoka nchi moja kwenda nyingine kulingana na mabadiliko ya misimu ya hali ya hewa, mbali na maajabu hayo ambayo wazungu wengi wamekuwa wakitiririka maeneo tofauti tofauti ya Afrika ili kujionea, kuna maajabu mengine yaliyo tokea katika misitu ya AUSTRALIA ambapo Nyoka mkubwa maarufu kama GIANT PYTHON amemmeza Mamba mkubwa mwenye zaidi ya tani 1 baada ya kupambana nae kwa zaidi ya masaa matano....angalia video yake hapo juu.
WWW.MICHONGOKAMILI.BLOSPOT.COM
No comments:
Post a Comment
0653830825